Maana yake ni kuwa hakuna mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah na asiyekuwa Allaah akiabudiwa, basi ´ibaadah yake ni batili. Allaah (Ta´ala) amesema:

ذَٰلِكَ بِأَنَّ اللَّـهَ هُوَ الْحَقُّ وَأَنَّ مَا يَدْعُونَ مِن دُونِهِ هُوَ الْبَاطِلُ وَأَنَّ اللَّـهَ هُوَ الْعَلِيُّ الْكَبِيرُ

“Hivyo ni kwa kuwa Allaah Ndiye wa haki na kwamba vile wanavyoomba badala Yake ndiyo batili na kwamba Allaah Ndiye aliye juu kabisa, Aliyetukuka.” (22:62)

فَاعْلَمْ أَنَّهُ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا اللَّـهُ

“Basi jua kuwa hakuna mungu wa haki ila Allaah.” (49:19)

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Qawl al-Mufiyd fiy Adillat-it-Tawhiyd
  • Imechapishwa: 05/08/2020