01. Hadiyth “Rak´ah mbili kabla ya Fajr ni bora… “

581- ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ameeleza kwamba Mtume wa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Rak´ah mbili kabla ya Fajr ni bora kuliko dunia na vyote vilivyomo ndani yake[1].”[2]

Ameipokea Muslim na at-Tirmidhiy. Katika upokezi wa Muslim imekuja:

“Nazipenda zaidi kuliko dunia nzima.”

[1] Bi maana mapambo ya dunia.

[2] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/379)
  • Imechapishwa: 08/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy