724- Ibn Mas´uud (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Nimetamani nimwamrishe mtu mmoja awaswalishe watu kisha nizichome moto nyumba za wale wanaocha swalah ya ijumaa.”[1]

Ameipokea Muslim na al-Haakim kwa cheni ya wapokezi ilio kwa mujibu wa sharti za al-Bukhaariy na Muslim[2].

[1] Swahiyh.

[2] Ni jambo linahitaji kutazamwa vizuri, uzindushi wake uko katika ile ya asili.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/450)
  • Imechapishwa: 26/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswiyr-ud-Diyn al-Albaaniy