145- Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Tahadharini na walaaniwa wawili?” Wakasema: “Ni kina nani walaaniwa wawili, ee Mtume wa Allaah?” Akasema: “Ni yule anayefanya haja yake katika njia za watu au katika vivuli vyao.”[1]

Ameipokea Muslim, Abu Daawuud na wengineo.

Walaaniwa kwa sababu wamelaaniwa na ni wenye kuchukiwa kwa sababu ya matendo yao.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/171)
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy