Ndani yake kuna sura zifuatazo:

Sura ya kwanza: Kudai elimu iliyofichikana kwa kusoma kiganja cha mkono, kikombe, unajimu na mengineyo.

Sura ya pili: Uchawi, ukuhani na upigaji ramli.

Sura ya tatu: Kutanguliza swadaqah, nadhiri na zawadi kwa wafu, makaburi na kuyaadhimisha.

Sura ya nne: Kuyatukuza masanamu vinyago na kuyatundika kwa ajili ya kumbukumbu.

Sura ya tano: Kuichezea shere dini na kutweza utukufu wake.

Sura ya sita: Kuhukumu kinyume na aliyoteremsha Allaah.

Sura ya saba: Kudai haki ya kuweka Shari´ah, kuhalalisha na kuharamisha.

Sura ya nane: Kujiunga na madhehebu ya kikafiri na makundi ya kipindi cha kikafiri.

Sura ya tisa: Mtazamo wa kuichumi wa maisha na uharibifu unaopatikana ndani yake

Sura ya kumi: Matabano na hirizi.

Sura ya kumi na moja: Kuapa kwa asiyekuwa Allaah, Tawassul na kuwataka msaada viumbe badala ya Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ´Aqiydat-ut-Tawhiyd, uk. 101
  • Imechapishwa: 19/03/2020