Ndani yake kuna sura zifuatazo:

Sura ya kwanza: Upondokaji katika maisha ya mwanadamu.

Sura ya pili: Shirki – maana na aina zake.

Sura ya tatu: Kufuru – maana na aina zake.

Sura ya nne: Unafiki – maana na aina zake.

Sura ya tano: Ubainifu wa ukweli kuhusu ujahili, ufuska, upotevu na kuritadi. Vigawanyo vyake na hukumu zake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ´Aqiydat-ut-Tawhiyd, uk. 74
  • Imechapishwa: 05/03/2020