00. Idhini ya al-Fawzaan ya kuchapisha na kueneza kitabu ” al-Ajwibah al-Mufiydah ´an As-ilat-il-Manaahij al-Jadiydah”

Himdi zote anastahiki Allaah.

Nimempa idhini Shaykh Jamaal bin Furayhaan al-Haarithiy ya kuchapisha kwa mara nyingine kitabu “al-Ajwibah al-Mufiydah ´an As-ilat-il-Manaahij al-Jadiydah” ambaye amekusanya majibu yangu ya maswali ya wanafunzi kupitia mikutano na durusi. Nimempa idhini ya kuchapisha kitabu pamoja na taaliki zake na nyongeza zingine ambazo hazikuwepo katika machapisho yaliyotangulia. Allaah Awaongoze [watu] wote katika haki na kuitendea kazi. Swalah na salaam zimwendee Muhammad, kizazi chake na Maswahabah zake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Ajwibah al-Mufiydah
  • Imechapishwa: 08/10/2016